Zaburi 4:1

“Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo; Umenifanyizia nafasi wakati wa shida; Unifadhili na kuisikia sala yangu.”

Events and News

600by400

Ofisi ya habari Jimbo

Askofu Tarcisius J.M Ngalalekumtwa alizalkiwa tarehe 25.10.1948 katika kijiji cha Banawanu kilichopo Parokiani Tosamaganga. Wazazi wake ni Joseph Ngalalekumtwa na Mama ni Magdalena Sekutika.

mgama 1

Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo Katoliki la Iringa hivi karibuni amezindua

 
events4

Zaidi ya watoto 700 wabatizwa Parokia ya Kihesa

Zaidi ya watoto 700 kutoka katika vigango saba (7) vya Parokia ya Kihesa 

 
events2

Zaidi ya watoto 700 wabatizwa Parokia ya Kihesa

Zaidi ya watoto 700 kutoka katika vigango saba (7) vya Parokia ya Kihesa 

 
wawata 1

Mhashamu Baba Askofu Ngalalekumtwa azindua miaka 50 ya WAWATA Jimbo

MHASHAMU Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa amezindua Yubilei ya Miaka 50 ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) kwa

 

Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo; Umenifanyizia nafasi wakati wa shida; Unifadhili na kuisikia sala yangu.

Join Our Mission to
Improve The Future For all

Jimbo la Iringa linatoa huduma mbambali kwa ajili ya watoto wenye shida.  Kati ya huduma hizo ni kituo cha watoto yatima ambacho kinapatikana Tosamaganga. Kituo kina jumla ya watoto 150 wenye umri kuanzia mwaka 0 hadi 6. Yatima Tosamaganga inasimamiwa na Shirika la Wamisionari wa Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu. Kituo hiki kilisajiriwa rasmi tarehe 16/10/1973.

Lengo la kituo ni kusaidia watoto waliofiwa na wazazi wao, waliotupwa, wasio na ndugu na wenye mazingira magumu.

Kituo kinapokea watoto kutoka madhehebu yote ya kidini. Hata hivyo, pale inapowezekana baadhi ya watoto hurudishwa nyumbani wafikapo mumri wa miaka 6. Wanaobaki kituo huhakikisha kuwa wanapata elimu pamoja na mahitaji yao muhimu kutoka mfuko wa kituo na wahisani mbalimbali.