Muhtasari wa Caritas

Kitengo kinachohusika na kusaidia wenye shida mbalimbali mfano: Waathirika wa matukio ya mafuriko, wa hanga wa chakula na wengine wenye matatizo mbalimbali.

Ofisi CARITAS Mkurugenzi wake ni Pd. Gaspar Makombe. CARITAS pia hujishughulisha pia na elimu ya Kilimo na ufugaji Kwa washirika wake.