Muhtasari wa Ofisi ya Mawasiliano Jimbo

Inashughulika na usambazi wa taarifa mbalimbali Kwa waamini wote. Taarifa hizo zinaweza kutoka Vatikano, SECAM, AMECEA, TEC na Jimboni. Waamini wanajulishwa hayo Ili wafahamu Kile kinachotendeka katika Kanisa lao na kutekeleza maagizo hayo