Muhtasari wa Mashirika ya Kipapa

Ofisi inajishughulisha na malezi Kwa watoto Kwa kuwapa malezi bora. Hufanya hivyo Kwa kuwakutanisha watoto katika makangamano yao ambayo hufanyika kabla na baada ya kufungwa Kwa shule.

Mkurugenzi wa PMS Jimbo ni Pd. Aidan Ulungi na msaidizi wake ni Pd. Stephen Msigwa ambao hawa Kwa pamoja hushirikiana kuhakikisha kwamba watoto wanapata Kile ambacho wanastahili.