Muhtasari wa Halmashauri Walei
Chama Cha kitume kinachughulika na masuala yote kuhusu utendaji wa kazi Kwa waamini walei; kuhamasishana na michango mbalimbali ambayo ni mahusus kutoka ngazi ya Jimbo hadi katika Jumuiya. Huko ndiko kunapopatikana taariza zote kuhusu muamini wa Kanisa Katoliki.
Ofisi ya Walei ndiyo mwamvuli wa vyama vya kitume na Sala katika Jimbo na Mkurugenzi wake ni Pd. Leonard Maliva.