Muhtasari wa TMCS

Mkurugenzi w chama hiki Cha Kitume kinachughulika na masuala ya malezi Kwa vijana ambao wapo vyuo vya kati na Chuo Kikuu. Lengo likiwa kuendelea kuwapa elimu ya maadili mema pindi wanapokuwa Pao vyuoni.
Paroko wa vyuo wa vyuo Vikuu Pd. Jordan Kihaga ndiye mwenye jukumu hilo la kuwalea.