Muhtasari wa TYCS

Mkurugenzi wake ni Pd. Alex Mkalawa. Inashughulika na malezi Kwa vijana wanaosoma shule za sekondari. Hupata mafundisho kupitia makongamano yao na mikutano wanayofanya Kila mwaka.

Contact us:

tycs@dioceseofiringa.org