Muhtasari wa UVIKAI

Chama Cha Kitume kinachojishughulisha na malezi Kwa vijana ambao wapo makazini na wale wenye shughuli halali za kuwapatia kipato.
Mkurugenzi wake ni Pd. Stanislaus Muhimbila.
Malezi yao hupata katika makongamano na mikutano ambayo wao wenyewe hujiwekea ratiba ya matukio hayo.