Muhtasari wa Wawata
Chama Cha Kitume Cha Wanawake Wakatoliki Tanzania. Pamoja na kushughulika na masuala ya akina mama katika kujengana kiimani na kulisaidia Kanisa, lakini pia Wawta hujishughulisha na malezi Kwa watoto wa kike Ili kuwalinda katika makuzi wapate mafundisho bora